Michuano ya Lighi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali imefikia tamati hapo jana, na inatarajiwa kutimua vumbi baada ya Droo itakayotolewa April 22 mwaka huu.Tayari vigogo Ulaya mara tano Fc BArcelona wamefungashiwa virago vyao, baada ya kuchapwa mabao 3-0 dhidi ya Juventus, wakifuatiwa na Bayern munich aliyechezea kipigo kikali cha mabao 6-3 kutoka kwa Real Madrid mabingwa mara 11 wa mashindano hayo, Borrussia Dortmund wametupwa na As Monaco kwa jumla ya mabao 6-3 huku Vijana wa El Cholo Diego Simeone wakiitwanga Leicester City mabao 2-1.
Na Kasmir Mseleche Gtv
leo messi